Gachagua alitakiwa kujitetea mbele ya Bunge la Seneti mchana huu lakini wakati wake wa kujitokeza bungeni ulipofika, hakuwepo ...
Bunge la seneti nchini Kenya, baadaye leo jioni linatarajiwa kupiga kura ya ndio au la, ya kumuondoa afisini naibu rais ...
NAIBU Rais wa Kenya, Rigath Gachagua amewahishwa hospitali mara baada ya kuumwa gafla wakati Bunge la Seneti likitarajia ...
GAVANA wa Kaunti ya Siaya nchini Kenya, Wakili Mwandamizi James Orengo ametetea msukumo wa kumwondoa Naibu Rais Rigathi ...
Bunge la Seneti nchini Kenya limeanza mchakato wa kusikiliza na kujadili mswada wa kutimuliwa ofisini kwa naibu wa Rais ...
Wakanda ni dola ya kufikirika Afrika Mashariki, ndani ya mfululizo wa vitabu vya Fantastic Four. Shujaa Black Panther ambaye ...
Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula ametangaza ushiriki wa umma katika hoja ya kumng’oa madarakani Naibu ...
BAADHI ya wabunge nchini Kenya wana wasiwasi kuhusu usalama wao katika kipindi cha kuanza kujadili hoja ya kumtimua Makamu wa ...
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, ...
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya wameamua kusitisha mgomo na kurudi kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali. Katika makubaliano hayo ya kurudi kazini kwa wafanyakazi hao ...