Kamishna Mkuu wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema wataendelea kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa bila kuingia migogoro na walipakodi.
Amesema Serikali inalenga kupunguza umasikini kwa kuwasaidia kifedha wananchi wasiojiweza na kushughulikia changamoto za msingi zinazowakabili katika maeneo yao wanayoishi.
Mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 alipandishwa kizimbani mahakamani hapo na kusomewa shtaka linalomkabili, Januari 10, 2025 akidaiwa kutenda ...
Katika uchaguzi huo, Mbowe aliyeshindwa na Tundu Lissu kwenye nafasi ya mwenyekiti, alikubali matokeo na kumtakia heri Lissu na timu yake nzima kukiendeleza chama hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amebainisha kwamba jiji hilo liko mbioni kuanza kufanya shughuli za kiuchumi ikiwemo biashara na kazi mbalimbali kwa saa 24.
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeiagiza Serikali kuingia makubalino na Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) maarufu Selian, ili ...