KATI ya timu nne zilizoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, ni Kilimanjaro Stars pekee ambayo haijafunga bao wala kupata pointi baada ya mechi tatu.
LILE dili la mshambuliaji wa Azam FC, Adam Adam la kwenda kwa mkopo wa miezi sita Kagera Sugar limeyeyuka na sasa anatajwa ...
BAADA ya dili la kutua Yanga kukwama, kiungo mkabaji Kelvin Nashoni aliyekuwa akitajwa kutua Pamba Jiji sasa ataendelea kusalia Singida Black Stars, huku kiungo Amade Momade akitolewa kwa ...
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita tangu alipomaliza mkataba na Mtibwa Sugar, beki Yassin Mustapha amesaini ...
TIMU ya kikapu ya Kurasini Heat imeifumua Magnet kwa pointi 69-28 katika Ligi Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam, lakini ...
NYOTA wa timu ya kikapu ya Polisi, Lawi Mwambasi amesema ushindi walioupata dhidi ya Yellow Jacket wa pointi 81-70 katika ...
MRATIBU wa michezo katika kituo cha JMK Youth Park, Bahati Mgunda amesema watoto 120 walishiriki mafunzo ya mchezo wa kikapu ...
MCHEZAJI Davidson Evarist wa timu ya Christ the King, bado anaendelea kutesa kwa ufungaji katika Ligi Daraja la Kwanza Mkoa ...
STAA wa AL Nassr, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or, ni mmoja wa watu wenye nguvu katika ...
BAADA ya kukaa nje ya gemu kwa mwaka mmoja na miezi 10, hatimaye kocha wa zamani wa Chelsea na Brighton, Graham Potter ...
LICHA ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizomshirikisha ...
Kiungo wa Simba, Jean Charles Ahoua mpaka sasa ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi ndani ya Simba katika michuano ...