Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuhusu hali tete ya ...
Kupitia gazeti rasmi la serikali, rais wa Kenya, William Ruto, ameteua jopo ambalo litaendesha shughuli nzima ya kuwateua ...
Ni kwa sababu kila lawama ya anguko la Chadema, alitupiwa Mbowe. Uchaguzi ulioharibiwa wa serikali za mitaa 2019, Uchaguzi ...
Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
RAIS wa Kenya William Ruto ametangaza mkutano wa kilele wa EAC utajadili hatua za namna ya kutafuta utatuzi wa mgogoro ...
NAIBU Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais DRC,, Giscard Kusema, amesema Rais Félix Tshisekedi hatahudhuria mkutano wa EAC ...
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa jumuiya ya kanda ya Afrika Mashariki utawajumuisha viongozi ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara ...
Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika hivi karibuni umemtaka Rais wa Jamhuri ya ...
Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza ...