NAIROBI, Kenya - Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kutekeleza wa mpango mkakati wa miaka mitano wa anga za juu ...
BUNGE la Seneti leo Alhamis limeppiga kura kuendelea na kesi ya kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila yeye kuwepo ...
SERIKALI imeahidi kuweka mikakati mbalimbali katika kuhakikisha sekta ya kuku na ndege wafugwao inakua na kuchangia zaidi ...
WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza ...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemkuta na kesi ya kujibu mwalimu Subiri Edson,37, wa shule ya Sekondari Nguno ...
Mapigano kati ya vikosi vya Shirikisho vya Ethiopia na wanamgambo kaskazini mwa magharibi nchini humo yanaweza kuleta athari ...
DAKTARI bingwa bobezi wa magonjwa ya mfumo wa fahamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Mohamed Mnacho amesema ...
WAKULIMA wa Korosho Mkoa wa Mtwara na Lindi wameingiza kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 143 fedha iliyotokana na mauzo ya tani ...
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema serikali inakusuia kuanzisha Wakala wa Ugani utakaowasimamia maofisa wa ugani nchini ...
WAKULIMA wa Korosho Mkoa wa Mtwara na Lindi wameingiza kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 143 fedha iliyotokana na mauzo ya tani ...
NAIBU Rais wa Kenya, Rigath Gachagua amewahishwa hospitali mara baada ya kuumwa gafla wakati Bunge la Seneti likitarajia ...