Tanzania chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa kinara wa hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.