Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni ya 'Twende Kidigitali Tukuvushe Januari' na kuwahimiza kuendelea kutumia ...
Katika jitihada za kujenga nguvu kazi yenye ushindani na ubunifu wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) sasa wataongezewa ujuzi na maarifa ili kukabiliana na changamoto za soko la ajira.