United tofauti na inavyofanya kwenye ligi kuu, huku imeonekana kuwa bora kutokana na kushinda michezo minne kati ya saba ...
Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, amesema katika mambo yaliyoibeba zaidi ligi hiyo ...
Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo kufuatilia mienendo hiyo na kuchukua hatua haraka kwa watumishi wachache wanaotengeneza ...
Jumla ya watahiniwa wa shule 477,262 kati ya 516,695 wenye matokeo sawa na asilimia 92.37 wamefaulu kwa daraja la kwanza hadi ...
Aidha kwa upande wa Tanasha Donna ambaye pia amezaa na Diamond, Zari amesema licha ya urembo wake lakini hafai kwenye kipindi ...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema umefika wakati sasa kuongeza nguvu ya ulinzi katika Ghuba ya ...
Raia wa China, Liang Zhou Liang (37) na Happyphania Chupaza (31) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Wakati baadhi ya watu nchini wakiogopa kufungwa gerezani hata kama wametenda makosa, hali ni tofauti nchini Japan ambako ...
Baada ya kuandamwa na kesi mfululizo za unyanyasaji wa kingono, hatimaye rapa Diddy ameamua kurudisha mashambulizi. Anadaiwa ...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Shinyanga imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Nkwabi Joseph, baada ya kumkuta na hatia ...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa sehemu nyingi za starehe, isipokuwa za ...
Wanafunzi watano walioandika lugha za matusi kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne wataadhibiwa na wazazi wao.