BUNGE limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Mission 300) Mwaka 2025 kwamba, umeiletea sifa ya kipekee Tanzania na kutaja namna Watanzania walivyonufaika ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
Picha: Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizundua jengo la stesheni ya SGR 01 Agosti, 2024. Picha: Ikulu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua hii.